JE UMESIKIA KUHUSU FEMTANZ

FEMTANZ ni programu amabayo itawasaidia wanawake wanaopenda kuwa na biashara ambazo zinatumia mfumo wa science na technologia, pia zitasaidia biashara ambazo pia zingependa kunufaika na science na technologia ili kukua. 

Kama wewe ni mwanamke mjasiriamali au mfanya biashara ni wakati wako huu.

Sapoti hii itatolewa bure ni wewe tu kuwa tayari kutoa muda wako kuja kwenye mafunzo kwa siku zitakazo kuwa zimepangwa. Programu itachukua muda wa miezi minne kwanzia december 2012 hadi february 2013

Kwa maelezo zaidi tembelea www.tanzict.or.tz au https://dl.dropbox.com/u/5482999/FemTanz-flyer-September-2012.pdf


Kwa mwaka huu nafasi ni kwa ajili ya biashara 20 tu, wahi mapema mwisho wa kutuma maombi ni 31 oct 2012.

Comments