JE UNAIJUA FURSA ILIYOPO YA KUTANGAZA BIASHARA KUPITIA WAVUTI NA MITANDAO YA SIMU?
Twakimu
zinaonesha kuwa:
kunaongezeko
la watumiaji wa wavuti (interneti) nchini Tanzania kutoka asilimia 5.8 mwaka
2006 hadi kufikia asilimia 12 mwaka 2011.
Pia
ongezeko la watumiaji wa mitandao ya
simu nchini Tanzania ni kutoka watu millioni 8.3 yani asilimia 20.75 hadi
kufikia watu millioni 25.7 yani asilimia
55.9 mwaka 2011.
Kwa
twakimu hizi ni dhahiri kuwa mitandao hii ya wavuti na simu ni fursa kubwa sana
kwako wewe ukiwa kama mjasiriamali na mfanyabiashara ya kuweza kutumia
kuwafikia wateja .
Je
unatambua fursa hii na kuitumia kuwafikia wateja wako?
Comments
Post a Comment