MANENO HATARI YA KUTUMIA KWENYE MIPANGO YA BIASHARA
Ni mara nyingi tunajikuta tukitumia maneno kama:
Siku moja
Hivi karibuni
Mwaka huu
Muda wowote
Siku yeyote
Siku si nyingi na mengine yafananayo na hayo katika kupanga mambo mbali mbali.
Kwanini nasema maneno haya ni hatari?
Maneno haya ni hatari pale yanapotumika wakati wa kupanga mipango mbali mbali.
unapopanga mipango yako, iwe ya biashara, maisha, familia nk. ukitumia maneno haya kuonesha wakati ni dhahiri kuwa mipango hiyo haitakuja kutimilika.
Maneno haya yanaonesha wakati usiokuwa na kikomo. ukitaka kupanga mipango weka wakati ulio na kikomo.
kwa mfano:
Jumatatu tarehe 23 nitafanya.......................
Hadi kufikia mwezi wa tisa nataka niwe .......................................
saa sita nita.................................nk.
NI muhimu kupanga mipango inayo ratibiwa na muda. kwenye kila mpango ulionao weka muda wa kutimiza mipango hiyo. kwa kufanya hivyo utaweza kufikia mipango yako uliyojiwekea. na kwa kiasi fulani mipango yako inaporatibiwa na muda inakufanya unakuwa makini katika kufanya mambo yako.
Je wewe ni maneno gani unayo tumia kupanga mipango yako?

Comments
Post a Comment