NENO LA LEO

Unapotangaza ili kuuza Bidhaa zako au huduma zako jambo muhimu unalotakiwa kukazia wakati wa matangazo sio jina au muonekano wa bidhaa au huduma, bali ni lile hitaji litakalokidhiwa mtu anaponunua bidhaa au huduma yako. 


Comments

Popular Posts